Rais Ruto amteua Jenerali Kahariri kuongoza KDF

  • | K24 Video
    1,531 views

    Rais William Ruto amemteua Luteni Jenerali Charles kahariri kuwa mkuu mpya wa vikosi vya jeshi nchini baada ya kumpandisha cheo na kuwa Jenerali. Jenerali Kahariri ambaye alikuwa naibu mkuu wa KDF, anamrithi Jenerali Francis Ogolla aliyeaga dunia wiki mbili zilizopita katika mkasa wa ndege ya KDF.