Brigedia Jenerali Said Charo azikwa kanamai kaunti ya Kilifi

  • | Citizen TV
    5,042 views

    Maafisa wawili wa kijeshi walioaga dunia kufuatia ajali ya ndege hapo jana wamezikwa. Brigedia Jenerali Said Nzaro Charo amezikwa kwao kadzengo Kanamai kaunti ya kilifi huku Kapteni Mohammed Karo Sora akizikwa katika katika mtaa wa Heillu moyale kaunti ya marsabit kwa mujibu wa dini ya kiislamu.Viongozi waliohudhuria mazishi hayo wametaja ajali hiyo kama pigo kwa taifa.