Changamoto zinazoikumba sekta ya uanahabari nchini

  • | K24 Video
    15 views

    Vitisho vya serikali na kutengwa kwa vyombo vya habari kumetajwa kama baadhi ya changamoto zinazoikumba sekta ya uanahabari hapa nchini. Hayo yameibuka katika uzinduzi wa ripoti ya kila mwaka ya sekta ya uanahabari huku siku ya dunia ya kusherekea uhuru wa uanahabari ikiwa kesho. Kuna uwezekano wa hayo kubadilika iwapo jopo kazi la mawasiliano litakamilisha mapendekezo ya marekebisho ya baadhi ya vipengee vinavyoongoza sekta ya mawasiliano hapa nchini ..