Dhiki ya wanafunzi 2,200 baada ya mafuriko ya Mai Mahiu

  • | Citizen TV
    224 views

    Takriban wanafunzi 2,200 wa shule ya msingi ya Ngeya eneo la Maai Mahiu, huko Naivasha bado hawajarejea shuleni.