Familia iliyoponea Mai Mahiu

  • | Citizen TV
    6,425 views

    Juhudi za uokoaji na kutafuta waathiriwa zaidi zinaendelea katika eneo la Mai Mahiu kaunti ya Nakuru siku nne baada ya mafuriko kusababisha vifo vya zaidi ya watu 50. Na huku baadhi wakiendelea kuwaomboleza jamaa na kukadiria hasara, kuna wale ambao wanaomshukuru maulana kwa kuwa hai. Serfine Achieng’ Ouma ametuandalia taarifa ifuatayo inayotupa taswira ya mseto wa hisia kati ya wale wanaoomboleza na wale wanaofurahia kunusurika kifo.