Familia ya Jenerali Ogolla yasema atazikwa Jumapili hii

  • | Citizen TV
    3,570 views

    Ni mara ya kwanza kwa taifa la Kenya kumpoteza mkuu wa jeshi akiwa bado anahudumu na mazishi yake yatakayokuwa ya kitaifa yatafuata taratibu na kanuni za kijeshi. Kwenye taarifa kutoka wizara ya ulinzi, waziri aden duale ameratibu ibada ya kijeshi itakayofanyika hapo kesho kabla ya mazishi mnamo jumapili.