Gor inakabiliwa na kibarua kigumu dhidi ya Murang'a Seal Jumamosi

  • | Citizen TV
    483 views

    Viongozi wa ligi kuu ya FKF Gor Mahia wana kibarua kigumu Jumamosi wakati watakaposafiri kwenda St. Sebastian Park Muranga kuchuana na Murang’a SEAL katika raundi ya 28 ya mechi za ligi. Hii itakuwa moja ya mechi nne zitakazochezwa siku ya Jumamosi.