'Niliwekwa kimada nikiwa na miaka 12'

  • | BBC Swahili
    531 views
    Elizabeth Paul Chitesya anayeishi na maambukizi ya Virusi vya Ukimwi anasimulia panda shuka zake katika Waridi wa BBC - #bbcswahili #waridiwabbc #tanzania Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw