Nyaraka za siri jinsi vikosi vya usalama walivyoua vijana waandamanaji

  • | BBC Swahili
    950 views
    Baada ya maandamano mjini Tehran Nika Shakarami hakurudi nyumbani kamwe. Iran ilidai kuwa alijiua. Lakini inayodaiwa kuwa ripoti ya siri inaeleza kuhusu mauaji na taarifa kufichwa na vikosi vya usalama. #bbcswahili #iran #maandamano Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw