Rais Ruto na kinara wa upinzani Raila Odinga waifariji familia ya Jenerali Ogolla

  • | Citizen TV
    6,772 views

    Rais William Ruto na Kiongozi wa upinzani Raila Odinga walikuwa miongoni mwa jamaa, marafiki na viongozi mbali mbali waliofika nyumbani kwa Jenerali Francis Ogolla jijini Nairobi kuifariji familia yake. Mwendazake Ogolla akisifiwa kama mwanajeshi na kiongozi shupavu ambaye alijitolea kuitumikia taifa hili.