Suluhu ya mgomo wa madaktari bado haijapatikana

  • | Citizen TV
    293 views

    Suluhu ya mgomo wa wahudumu wa afya ingali kupatikana siku mbili baada ya mahakama kuagiza serikali kukutana na viongozi wa madaktari. Muungano wa madaktari KMPDU walifanya kikao na wizara ya afya na baadaye wakakutana na baraza la magavana katika juhudi za kutafuta suluhu.