"Tunataka wezi hawa walale kwenye vitanda walivyotengeneza."

  • | BBC Swahili
    2,005 views
    Rais wa chama cha upinzani Uganda National Unity Platform Robert Kyagulanyi amepongeza vikwazo vya Uingereza vinavyomlenga Spika wa Bunge Anita Among na mawaziri wengine wa zamani kutokana na tuhuma za ufisadi. #bbcswahili #uganda #robertkyagulanyi Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw