Vituo vya kampuni ya RMS vyasalia kuongoza nchini

  • | Citizen TV
    454 views

    Kampuni ya Royal Media Services imeendelea kusalia kidedea kwenye matangazo hapa nchini. Kwa mujibu wa ripoti iliyozinduliwa na baraza la wanahabari nchini hii leo, Citizen TV imesalia kuwa runinga inayotazamwa zaidi huku Radio Citizen ikisikilizwa zaidi na wakenya. Tovuti ya Citizen Digital nayo imeshikilia nafasi ya pili bora kwa habari.