Afisa Samir Yunus akabiliwa na tuhuma za kumbaka Polisi wa kike Nairobi

  • | K24 Video
    64 views

    Aliyekuwa msimamizi wa kituo cha polisi cha Kamukunji jijini Nairobi, amefunguliwa mashtaka baada ya kukamatwa. Samir Adhuman Yunus anatuhumiwa kumbaka afisa mwenzake wa kike katika kituo cha polisi cha Dandora alikokuwa akihudumu kama afisa msimamizi kama anavyoeleza