Afueni kwa wakaazi wa Pwani ya Kenya baada ya uzito wa Kimbunga Hidaya kuondoka

  • | Citizen TV
    5,973 views

    Afueni Ya Kimbunga Pwani Imekuwa Afueni Kwa Wakaazi Kuhusu Kimbunga Hidaya Idara Ya Hali Ya Anga Yasema Hatari Yake Imeondoka Kulikuwa Na Tangazo La Hatari Ya Kimbunga Hidaya Idadi Ya Waathiriwa Wa Mafuriko Nchini Yafikia 228 Serikali Yasema Watu 9 Zaidi Wamefariki Katika Saa 24