Amani yarejea katika eneo la Baragoi kaunti ya Samburu

  • | Citizen TV
    124 views

    Wakazi wa Baragoi Samburu kaskazini sasa wanafurahia kupatikana Kwa amani,katika eneo hilo lililokumbwa na mapigano ya uhasama wa kijamii,wizi wa Mifugo na mauaji. wadau mbali mbali wamezamia mchakato wa kuimarisha amani hiyo Kupitia vikao vinavyowashirikisha wazee kutoka jamii hizo.