Asilimia 88 ya Wamarekani wanaunga mkono kuhalalishwa bhangi

  • | VOA Swahili
    269 views
    Bhangi ni suala nadra la makubaliano katika Amerika iliyogawanyika kisiasa, huku ukusanyaji maoni ukionyesha kwamba asilimia 88 ya Wamarekani wanaunga mkono walau kwa kiasi fulani kuhalalisha bhangi. Lakini watetezi wa bhangi wanasema hakuna mgombea hata mmoja wa juu wa urais anatumia mitazamo inayobadilika. Mwandishi wa VOA Scott Stearns anaripoti. Khadija Riyami anaisoma ripoti kamili. #bhangi #marekani #siasa #wamarekani #wagombea #urais #uchaguzi #voa #voaswahili #dunianileo