Baadhi ya viongozi wa muungano wa Azimio wamekosoa polisi kwa kutumia nguvu kupita kiasi

  • | KBC Video
    16 views

    Baadhi ya viongozi wa muungano wa Azimio la Umoja wamekosoa polisi kwa kutumia nguvu kupita kiasi kukabiliana na waandamanaji. Wakiongozwa na naibu mwenyekiti wa chama cha ODM Bernard Shitiabayi, Viongozi wa eneo la magharibi ya Kenya wanawataka maafisa wa usalama waheshimu maisha na uhuru wa wakenya wanapokabiliana na waandamanaji.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channell: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #TheGreatKBC