Baadhi ya wanafunzi waacha masomo ili wazoe mchanga katika kaunti ya Kajiado

  • | Citizen TV
    117 views

    Wakazi wengi wa kaunti ya kajiado wamejitosa kwenye biashara ya kuzoa na kuuza mchanga. Kazi hii imewafanya vijana wengi kuacha shule.