Baadhi ya watoto wanaostahili kupata chanjo hawakamilishi dozi jinsi inavyofaa

  • | K24 Video
    16 views

    Baadhi ya watoto wanaostahiki kupata chanjo hawakamilishi dozi jinsi inavyofaa, na huko kunazua hatari ya magonjwa yanayozuiwa kwa chanjo kuibuka katika siku za usoni.asilimia 2 ya watoto wenye umri wa miezi 12 hadi 23 hawajachanjwa kikamilifu, na ni asilimia 67 ya watoto ambao wamepata dozi ya pili ya chanjo ya surua