Baba wa kambo amdhulumu kimapenzi bintiye mdogo na kumpachika mimba

  • | Citizen TV
    2,064 views

    Dhuluma kwa wasichana Baba wa kambo alimdhulumu kimapenzi bintiye mdogo Msichana aliyedhulumiwa alishika mimba ya babake Mashirika ya kutetea haki za watoto yataka wahamasishwe Keya: watoto wafunzwe kuwasema wanaowadhulumu Keya: watoto wengi hudhulumiwa na jamaa zao