Bei ya mafuta ya petroli inatarajiwa kupanda kwa kiasi kikubwa kuanzia Jumamosi

  • | K24 Video
    36 views

    Bei ya mafuta ya petroli inatarajiwa kupanda kwa kiasi kikubwa kuanzia Jumamosi kwani mamlaka ya udhibiti wa kawi inatarajia kutangaza ongezeko la bei ya bdihaa hiyo baada ya mswada wa fedha kutiwa saini na Rais Ruto. Huenda nauli ikaongezeka huku wakenya wakitarajia gharama ya maisha kupanda zaidi kufuatia ongezeko la gharama ya uzalishaji