Carl Tundo aibuka mshindi wa mbio za magari Machakos

  • | Citizen TV
    528 views

    Mshindi mara tano wa mbio za Safari Rally Carl Tundo na Maxine Wahome ni miongoni washindi wa makala ya kwanza ya mbio za magari za rallycross zilizomalizika leo katika uwanja mpya wa mbio za magari huko Machakos.