Chanzo cha majeraha ya uti wa mgongo

  • | K24 Video
    44 views

    Kwa mujibu wa wizara ya afya, ajali za barabarani zimetambuliwa kama chanzo kikuu cha majeraha ya uti wa mgongo, ambayo mara nyingi husababisha majeruhi apooze. Wataalamu wa afya wanashauri wanaohisi maumivu ya mgongo wakimbilie hospitali kufanyiwa uchunguzi ili waepuke madhara zaidi ya maumivu.