COTU yataka nyongeza iwe ya asilimia 50 na tume ya SRC ivunjwe

  • | K24 Video
    62 views

    Muungano wa vyama vya wafanyikazi , COTU, umeitaka serikali kuongeza mishahara ya wafanyi azi kwa asilimia 50, ili waweze kukabiliana na hali ngumu ya maisha. Hilo linawadia siku mbili tu baada ya serikali kupandisha bei ya mafuta ambayo sasa ni zaidi ya shilingi mia mbili kwa kila lita.