Dada wawili waliopoteana miaka 60 iliyopita hatimaye wakutana leo

  • | Citizen TV
    5,318 views

    Hebu fikiri haya. Kwa miaka sitini, dada wawili walikosa kuonana au hata kuwa na mazungumzo kwa muda huo wote baada ya kupoteana maishani. Leo hii, juhudi za kuwapatanisha dada hawa ambao sasa wako miaka yao ya 70 ziligeuka kuwa raha, mbwembwe na hata machozi ya furaha kwa wakaazi wa eneo la Lanet kaunti ya Nakuru.