DCI yapata kanda ya CCTV inayoonyesha jinsi anayetuhumiwa kumuua mpenziwe alivyotupa mwili wake

  • | Citizen TV
    1,359 views

    Maafisa wa ujasusi kutoka kitengo cha DCI wamepata kanda ya video inayoosha namna mwanamume anayetuhumiwa kumuua mpenziwe alivyotupa mwili wake baada ya mauaji yake.