Familia 70 kutoka Othaya zanufaika kutokana na nyumba za kisasa za mbao

  • | KBC Video
    48 views

    Familia sabini kutoka eneo la Othaya zilizokuwa zikiishi katika nyumba za udongo, zimenufaika kutokana na nyumba za kisasa za mbao kwa hisani ya jamii. Mradi huo uliopewa jina TUINUANE, umechochewa na juhudi za kuangamiza funza, muasisi wake akiwa mbunge wa eneo hilo Wambugu Wainaina.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #darubini #News