Familia kadhaa eneo la Eastleigh ziko mashakamani kufuatia mzozo wa ardhi na wawekezaji wa kibinafsi

  • | Citizen TV
    1,208 views

    Familia kadhaa katika eneo la Eastleigh hapa jijini Nairobi ziko mashakamani kufuatia mzozo wa ardhi na wawekezaji wa kibinafsi. Hatua hii imewalazimu wakazi wa maeneo yanayolengwa na watapeli wa ardhi kubandika ilani kwenye kuta zao kuwaonya wawekezaji dhidi ya kununua vipande hivyo vya ardhi.