Familia moja huko Kisii naomba miili ya wanao kuopolewa

  • | Citizen TV
    592 views

    Mawakili kisii wameapa kuisaidia familia ambayo mwanao aliuwawa katika njia tatanishi na mwili wake kupatikana msituni. Robin Nyamburi, kijana mwenye umri wa miaka 20.alipatikana ameuawa kinyama na mwili wake kutupwa katikamsitu wa Nyansembe, Mugirango Kusini.Mawakili hao, Sam Nyaberi na Danstan Omari wamewataka polisi kuanzisha uchunguzi wa kina na kubaini kilichosababisha Nyamburi mauaji hayo.