Familia moja yaomba msaada wa Shs 8M kumwezesha binti wao kufanyiwa upasuaji India

  • | KBC Video
    16 views

    Familia moja kutoka kaunti ya Nakuru inaomba msaada wa kifedha wa Shs 8M kumwezesha binti wao aliye na matatizo ya uti wa mgongo kufanyiwa upasuaji wa kurekebisha hali hiyo nchini India. Tayari familia hiyo imempoteza mwana mwingine kutokana na hali sawia. Msaada kwa familia hiyo unaweza kutumwa kupitia nambari ya Mpesa Paybill 516600 au kupitia benki ya Diamond Trust nambari ya akaunti 7768968001.

    #DiraYaMagwiji

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #medicalappeal #KenyaElection2022 #DiraYaMagwiji