Familia ya mwanariadha mstaafu Kipchoge Keino yazozania shamba

  • | Citizen TV
    4,220 views

    Mzozo wa ardhi ya ekari 196 umezuka baina ya familia ya mwanariadha mstaafu Kipchoge Keino na familia nyingine inayodai umiliki wa ardhi hiyo.