Familia ya wakimbizi wa Syria yaeleza matatizo yanayo wakabili Somalia

  • | VOA Swahili
    1,079 views
    Familia ya wakimbizi kutoka Syria waliokimbilia Somalia waeleza matatizo wanayokumbana nayo ikiwemo ukosefu wa chakula na pia matibabu. Ungana na mwandishi wetu akikuletea maelezo ya wakimbizi hawa na jinsi wanavyoendelea kupambana na maisha nchini Somalia. #familia #wakimbizi #chakula #afya #maradhi #somalia #misaada #voa #voaswahili #dunianileo - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.