Familia zaidi ya 10,000 zanufaika na mradi wa kilimo katika kaunti ya Busia

  • | Citizen TV
    156 views

    Katika azma ya kupigana na umasikini katika kaunti ya Busia, familia zaidi ya 10,000 zitanufaika na mradi mpya wa kilimo. Mradi huo unafadhiliwa na shirika la mifugo nchini .