Farasi akwama juu ya paa huku uwanja wa ndege ukifurika maji Brazili

  • | BBC Swahili
    1,140 views
    Juhudi za uokoaji zinaendelea katika jimbo la Rio Grande do Sul nchini Brazil baada ya mafuriko na maporomoko ya ardhi kupoteza maisha ya takriban watu 100. Video ya farasi akiwa amekwama juu ya paa katikati ya maji ya mafuriko katika jiji la Canoas ilisambaa katika mitandao ya kijamii jumatano. Meya wa jiji hilo alisema walimuokoa farasi huyo kwa msaada wa helikopta. #bbcswahili #brazil #mafuriko Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw