Gachagua aunga mkono mazungumzo ya Azimio na Kenya Kwanza

  • | TV 47
    123 views

    Naibu Rais Rigathi Gachagua amesema kuwa anaunga mkono mazungumzo ya maridhiano kati ya mrengo wa kanya Kwanza ukiongozwa na kingozi wa wengi bungeni Kimani Ichung'wah , na Azimio chini ya uongozi wa kiongozi wa Wiper Kalonzo Musyoka.

    Gachagua amesema hayo katika ziara yake kaunti ya Nandi alikoendesha mchango wa makanisa 9 katika parokia ya mtakatifu marks sigilai eneo bunge la Nandi hills na vilevile uzinduzi wa pembejeo za bei nafuu kutoka kwa serikali katika eneo la kobujoi kaunti hiyo ya Nandi.

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __