Gavana Mung'aro atishia kuhamisha zaidi ya miili mia nne ya waliofariki msituni shakahola

  • | K24 Video
    152 views

    Gavana wa Kilifi Gideon Mung'aro ametishia kuhamisha zaidi ya miili mia nne ya waliofariki msituni shakahola kutoka hospitali ya Malindi hadi hospitali ya kitaifa ya Kenyatta (KNH) kufuatia harufu kali na gharama kubwa ya umeme. Mung'aro ameipa serikali ya kitaifa hadi jumatatu kuhamisha miili hiyo la sivyo atatekeleza tishio hilo. Kulingana naye, kaunti imegharamika shilingi milioni 36 za umeme bila ya usaidizi katika kuhifadhi miili hiyo.