Gavana wa Nakuru aamuru wafanyakazi wahamishwe

  • | Citizen TV
    13,948 views

    Gavana wa Nakuru Susan Kihika ametaka mabadiliko kufanywa miongoni mwa wafanyikazi wa idara ya kukusanya mapato katika kaunti ya Nakuru kama njia moja ya kuhakikisha uwajibikaji na kuimarisha ukusanyaji wa fedha katika kaunti hiyo. Kihika aidha akiwataka wahudumu wa afya elfu moja waliohitimu kimasomo kupandishwa vyeo.