Gofu ya Mawakili

  • | TV 47
    15 views

    Mkuu wa kitengo cha sheria katika chuo kikuu cha mt Kenya daktari Willy Mutubwa aliongoza zaidi ya wanagofu 300 katika mashindano ya gofu ya Mawakili yaliyoandaliwa katika uwanja wa royal Nairobi golf club.

    Akizungumza baada ya kumaliza raundi yake kwenye gofu hiyo daktari mutubwa alieleza kuwa lengo kuu la shindalo hilo ni kuwaarifu watu kuhusu programu ya stashahada ambayo imenzishwa katika shule ya sheria kwenye chuo hicho huku akiongezea kuwa kuna mpango wa kuanzisha programu ya mchezo wa gofu kwenye chuo cha mt Kenya

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __