Halmashauri ya NTSA yanuia kuzuia ajali barabarani

  • | KBC Video
    34 views

    Mamlaka ya Kitaifa ya Uchukuzi na Usalama imeanza kutoa mafunzo upya kwa madereva wote wa magari ya shule huku kukiwa na wasiwasi kuhusu ongezeko la ajali za barabarani zinazohusisha magari ya shule. Zoezi hilo la mafunzo ambalo lilianza jijini Nairobi, lilijumuisha kozi za kujikumbusha kuhusu ufahamu wa alama na kanuni za barabarani. Timothy Kipnusu anatuarifu zaidi kuhusu zoezi hilo huku mamlaka ya NTSA ikiimarisha juhudi zake za kuhakikisha usalama barabarani.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News