Hazina inayotoa ufadhili kwa vyuo vikuu nchini yatoa hakikisho kuwa kila mwanafunzi atapata ufadhili

  • | Citizen TV
    354 views

    Hazina inayotoa ufadhili kwa vyuo vikuu nchini imetoa hakikisho kuwa kila mwanafunzi atakayejiunga na chuo kikuu atapata ufadhili. Mkurugenzi mkuu wa hazina hiyo Geoffery Monari anasema kuwa shilingi billioni 19.6 zimetengwa kwa ufadhili wa wanafunzi . Maryanne Nyambura na taarifa hiyo.