Hofu ya uhaba wa chakula yanukia nchini

  • | Citizen TV
    3,451 views

    Taifa linakabiliwa na tishio la uhaba mkubwa wa nafaka baada ya mafuriko kuharibu mashamba yaliyoko chini ya mradi wa unyunyizaji maji wa Perkerra kaunti ya Baringo. Aidha zaidi ya familia 1000 kaunti hiyo zinakabiliwa na janga la kibinadamu kufuatia mafuriko hayo yaliyoharibu tegemeo lao la nafaka.