Hujuma za kiuchumi | Rais Ruto asema hatayumbishwa kwa vyovyote

  • | KBC Video
    53 views

    Rais William Ruto ametahadharisha kwamba serikali itachukua hatua madhubuti dhidi ya watu wanaohujumu ukuaji wa uchumi wa taifa hili. Akiongea wakati wa hafla ya kuorodheshwa kwa kampuni ya Laptrust Reit kwenye soko la hisa la Nairobi, Ruto alikariri kwamba maandamano yasiyo halali hayataruhusiwa humu nchini na kusisitiza kuwa serikali itahakikisha hakuna mtu atateka nyara uchumi wa taifa kupitia kuzua rabsha na machafuko.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News #maandamano #WilliamRuto