Idara ya watoto ya umoja wa mataifa yazindua ajenda ya watoto

  • | Citizen TV
    428 views

    Wito wa kuongeza juhudi za kuwalinda watoto umetolewa hii leo kwenye uzinduzi wa masuala 11 yanayohitaji kupewa kipaumbele katika kustawisha maslahi ya watoto.