Irene Masit ajitetea kuhusu malalamishi dhidi yake

  • | K24 Video
    99 views

    Jopo lililooundwa kuchunguza utendakazi wa makamishna wanne wa tume ya IEBC imehitimisha vikao vyake leo. Katika siku ya mwisho ya kusikilizwa kwa kesi dhidi ya wanne hao, kamishna Masit alisisitiza kutokuwa na hatia yeyote kuhusiana na malalamishi dhidi yakekiongozi wa mashtaka katika jopo hilo Peter Munga hata hivyo alisalia na msimamo kwamba massit anafaa kuondolewa kwenye tume hiyo.