Jamaa wa miaka 23 aliyemuua mpenziwe kwenye duka Masii afikishwa kizimbani katika kaunti ya Machakos

  • | Citizen TV
    613 views

    Jamaa mmoja mwenye umri wa miaka 23 ambaye anadaiwa kumvamia na kumdunga kisu mpenziwe katika duka moja huko Masii kaunti ya Machakos amefikishwa mahakamani.