Japheth Koome Kikaangoni

  • | TV 47
    18 views

    Kinara wa Azimio Raila Odinga amehudhuria ibada ya wafu ya vijana wawili wanaodaiwa kuuawa na polisi wakati wa maandamano ya Azimio katika eneo la esiandumba, eneobunge la luanda katika kaunti ya Vihiga.

    Raila ameisuta serikali kwa kile anasema ni kuwahujumu wakenya kwa kutekeleza mauaji ya kiholela.

    Aidha ,Raila amesisistiza kuwa atafanya kila awezalo kuhakikisha familia zilioathirika kufuatia ukatili wa polisi zinapata haki.

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __