Je ni kwanini makungwi wengi hawana ndoa?

  • | BBC Swahili
    1,503 views
    Neema Chizenga, 40, ambaye ni mlemavu wa mguu, ni mjasiriamali lakini pia amekuwa akijihusisha na masuala ya kuwafunda wasichana na wanawake wanaoelekea katika ndoa na walio ndani ya ndoa Unaweza kutazama mahojiano haya kwa urefu https://youtu.be/wzb4PnTrh18 #bbcswahili #tanzania #ujasriamali Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw