John Kuria ndiye mshindi wa hivi punde wa Shabiki.com Kaende Jackpot

  • | Citizen TV
    272 views

    John Kuria ndiye mshindi wa hivi punde wa shindano la Shabiki Kaende Jackpot. Kuria, ambaye anaishi eneo la karai kaunti ya Kiambu alishinda shilingi 500,000 baada ya kubashiri mechi 11 kati ya 13 kwa usahihi. Kuria anasema kuwa atatumia pesa hizo kumwanzishia mkewe biashara ya kuku.