Kamati maalum yaanza rasmi kusikiliza kesi ya Waziri Linturi

  • | Citizen TV
    936 views

    Kesi dhidi ya Waziri wa Kilimo Mithika Linturi kuhusu madai ya kuhusika na kashfa ya mbolea ghushi imeanza kusikizwa rasmi mbele ya kamati maalum ya bunge inayoongozwa na mwakilishi wa kike kaunti ya Marsabit Naomi Waqo. Waziri Linturi tayari ameelezea kamati hiyo kwamba hana hatia yoyote na kwamba yuko tayari kujitetea. Hebu tuelekee katika majengo ya bunge na tusikilize yanayojiri katika kikao hicho